1- Kwenye makontena ya Sanduku:
Vitalu vya marumaru vinasukumwa ndani ya kontena la sanduku na kuviwekea juu ya mafimbo yenye nguvu ya mbao kwa kutumia mashine kubwa ya kuinua au kutumia mashine ya kuinua pamoja na mashine nzito ya kusukuma kichwa cha juu
pamoja na mashine nzito ya kusukuma. Kwa Ufungashaji rahisi tafadhali wasiliana nasi " kampuni marmo Design "
2- njia ya kawaida:
Vitalu vya marumaru vyawekwa moja kwa moja jinsi vilivyo kwenye malori, ili visafirishwe hadi bandarini na kuviwekwa kwenye juu ya mafimbo ya mbao kisha kuvifungisha juu ya meli maalum.
3- Katika makontena wazi hapo juu:
Vitalu vimewekwa ndani ya kontena lililo wazi hapo juu kwenye mafimbo yenye nguvu yanazofaa kwa ufungashaji rahisi.


Hatua ya 1
Hatua ya 2

Hatua ya 3
Slabs
1- nguzo za mbao:
Bodi hizo zimekusanywa katika vikundi kila kikundi kinajumuisha Bodi 8 hadi 15 kulingana na unene wake na zilizifungwa katika vifurushi vya mbao & Ufungashaji ama kwenye kontena la sanduku la futi 20 kwa kutumia mashine ya kuinua au kwenye kontena wazi hapo juu kwa kutumia mashine ya kupakua kutoka kichwa cha kontena
na hayo kulingana na ombi la mteja wetu pamoja na upatikanaji wa makontena wazi hapo juu
zingatio : Bodi zilizosafishwa zimetengshwa na shuka za Plastiki ili kulindwa dhidi ya mikwaruzo




















3- njia ya kawaida ya Ufungushaji wa Bodi:
Bodi zimewekwa kwa mikono moja kwa moja kwenye sakafu ya kontena juu ya mibao miwili iliyofungwa vizuri ndani ya kontena inayofikia futi 20 ,
ikiwa Bodi ni ndefu , kontena itabeba vikundu viwili tu , kikundi kimoja kwenye upande wa kulia na kingine kwenya upande wa kushoto , Ama ikiwa Bodi zenye urefu mfupi , kontena itabeba vikundi vinne vya Bodi , mbili kwenye upande wa kulia na mbili kwenye upande wa kushoto.
Vilevile , Bodi zilizosafishwa zimetengwa na shuka za Plastiki ili kulindwa dhidi ya mikwaruzo



1- masanduku ya mbao:
Vigae vimefunganishwa baada ya kuchaguliwa kwa makini kwenye masanduku ya mbao ambayo povu zinawekwa pembezoni mwake ili kuhakikisha ulinzi bora.
Kila sanduku la Mbao lina idadi fulani ya vigae kulingana na unene, Maelezo yote juu ya yaliyomo ndani ya sanduku yametajwa kwenye ukurasa iliyobandikwa nje ya sanduku .
Tunatumia Sanduku la karton au povu tu kwa ajili ya Ufungushaji wa vipimo "12 "x12" (10mm +/- 0.5 Unene) na hivyo kabla ya kuingizwa ndani ya masanduku ya mbao , vilevile , karatasi nyembamba za Plastiki kati ya nyuso zilizosafishwa za vigae ili kutokwaruzwa uso.
Tiles

















2- paliti za mbao:
Vigae vimebebwa baada ya kuchaguliwa kwa makini kwenye paliti za mbao zilizifungishwa na mikanda ya plastiki na katoni ili kuepusha uharibifu wowote unawezekana kutukea
Kulingana na saizi na unene wa vigae , kila paliti ina idadi fulani ya vigae
Maelezo yote kuhusu yaliyomo kwenye paliti yametajwa kwenye karatasi ya lebo iliyobandikwa kwenye upande wa paliti .











