top of page

Teriesta Limestone - Sinai Pearl Limestone

  • Treista ( Siani Pearl ) ni Marumaru  ya tatu inayojulikana zaidi ya  hiko Misri na pia ni moja wapo ya aina bora za mawe. Machimbo yake yako kaskazini na kusini mwa Sinai ya  Peninsula . vitalu vyenye Ubora wa  namba 1  vya Marumaru ya Triesta huja kutoka eneo la kusini (mbali sana na eneo la migogoro). 

  • Ni nadra kupata kitalu cha Treista kimoja chenye  ubora, kwa sababu vitalu vingi vya Sinai  pearl vina kasoro. 

  • Treista au sinai pearl Inakuja katika rangi mbili tofauti 1) manjano, 2) Kijivu. Marumaru ya manjano ya Triesta imeenea zaidi kuliko Marumaru ya kijivu ya Triesta.

Sifa za Sinai Pearl: -

Nia aina dhidi ya  kufungia, kwa hivyo inawezekana kutumika  Sehemu za nje na za ndani

Inawezekana kutumia Surface za Kumaliza nyingi juu yake kama vile:

 

  1. Iliyosafishwa  // kupiga Poli  (inayojulikana zaidi).

 

  1. Matte  (pia inajulikana, kwa sababu inatoa Muonekano mzuri )

  2. Brashi

  3. Kupigwa Nyundo laini au ngumu (wakati mwingine huambatishwa na Brashi  ambapo ipigwe Bush kabla ya kupigwa nyundo ,  na namna hii  inatumika katika sakafu za mabwawa ya kuogelea , viwanja , nyuso za majengo , n.k.).

 

Asidi -Tumbeled – ugawaji asili wa Marumaru -  kupigwa mchanga

 

Surface ya kumaliza ya kuchomwa Moto  (Si Bodi zote za  marumaru ya Triesta zinaendelea sawa ana  mchakato wa kuchomwa moto  isipokuwa kuiongezea  mchakato wa  Acidi kuiongezea, ili mchakato wa kuchomwa moto uwe na ufanisi zaidi).

 

Kumbuka 1: inawezekana  kupiga  Brashi, Acidi na nyundo kabla au baada ya kukata slabs  juu ya vigae . Lakini  kupiga surface ya  kumaliza kabla ya kukata vigae , ni ghali zaidi kuliko kukata baada ya kupiga surface ya  kumaliza, kwa sababu kukata Bodi   kwa vigae kabla ya kutumia  surface ya kumaliza kuufanya kiasi cha  Upotezaji wa aina ile  kuwa chini zaidi . Kwa Ujumla jambo hilo  limetekelezwa  kulingana na Utashi wa  mteja.

 

Kumbuka 2:  Sura ya kumaliza ya Matte Pamoja na Tumbeled   ni maarufu  na inatumika Zaidi ambapo Inatumika katika  Mahali pa nje na pa ndani, Ukutani na sakafuni , viwanja, nyuso za majengo , chemchemi, mabwawa ya kuogelea , n.k.

Uainishaji wa kawaida na Takwimu za Ufundi : -

Nguvu ya kubana  : 136.51 MPa

Nguvu  ya kuinama  : 13.1 - 15.7 MPa

Uzito wiani  2305 - 2628 kg/m3

Ufyonzwaji wa Maji : 0.20 - 0.89 By weight %

Uzito wa m2 of 2cm T : approx. 52 kg

Uzito wa  m2 of 3cm T : approx. 77 kg

 

Kasoro za  aina hii na michakato ya kurekebisha  yake: -

1) Maua meusi kwenye uso wake .

2) nyufa

Mchakato wa kurekebisha : Kujaza ufa kupitia resini au resini ya epoxy  kwa  rangi inayofanana na vigae  na  kushughulikia nyufa zote mbili na hulipa jiwe nguvu yake ya kubana.

 * Vitalu vingine vina Chumvi ( chumvi iliyoachwa wakati maji huvukiza, basi inaonekana kama dutu ya unga juu ya uso).

Mchakato wa kurekebisha : tunatumia anti-chumvi juu ya uso ambayo inazuia chumvi kubaki juu ya uso wa aina .

Kutu (hii inaweza kusababisha nyufa za hudhurungi)

Kwa hivyo bidhaa za Triesta zenye ubora wa namba  1 za  ni ghali zaidi.

Jiwe la  Sinai au  marumaru ya Triesta ni mojawapo ya aina maarufu zaidi za aina za  marumaru za  kimisri na tunasambaza kwenye Bodi , vitalu, vigae na kukatwa kwa saizi  kwa  kiasi chochote  na Ubora bora .

Unaweza kuitumia kama sakafu za  marumaru , vigae vya marumaru ukutani  , ngazi za marumaru ,  Sills za madirisha ya marumaru  , mahali pa moto pa marumaru ,  meza ya kounta  ya jikoni ya marumaru , marumaru ngazi za  mahali mwa  ndani na pa nje na maumbo mazuri mengine  .

Marumaru ya Triesta inayojulikana katika nchi zote ulimwenguni kote

Katika Uingereza na Australia, wao wanatilia mkazo katika  jiwe la Triesta na waitumia kwa surface ya kumaliza ya tumbeld   (  vigae vya Triesta vya tumbeld  ) kwa ngazi na sakafu

Nchini Uhispania, Triesta hupendelewa  kutumika katika  sura ya kumaliza ya kupigiwa nyundo   ( vigae vya Triesta vinavyopigwa  nyundo na sill za  madirisha )

Nchi nyingine zinanunua  marumaru ya  sinai  au jiwe la  triesta  kwa surface ya kumaliza ya kupigiwa poli  na matte  .

 

Maelezo ya Marumaru ya  Treista // Siani Pearl ( jiwe la Kimisri )

  • Jina la Aina : Treista - Siani Pearl

  • Rangi ya Marumaru : Kijivu

  • Nchi ya asili : Machimbo ya kimisri ya Marumaru

  • Aina zinazopatikana : vitalu , Bodi na vigae

  • Saizi za Bodi : 265-300cm x 160-195cm

  • Unene wa Bodi  (Upatikanaji) : 15-20-30-40-50mm (hadi 200mm kwa agizo)

  • Saizi za vigae  vya Marumaru (Upatikanaji ) : saizi zozote

  • Unene wa vigae vya marumaru kwa sakafu au kuta : 10-12-15-20-30-40mm (hadi 200mm kwa agizo

  • Sura za kumaliza : kupigwa Poli , isipigwa poli , Matte , brashi , acidi, kupigwa Mchanga , kupigwa nyundo, tumbled, iliyopigwa mstari,vigae vya  jiwe la mapmbo,  , kuchomwa moto

bottom of page