top of page

Vigae | Ufungashaji

1- masanduku ya mbao:

Vigae vimefunganishwa  baada ya kuchaguliwa  kwa makini kwenye masanduku ya mbao ambayo  povu  zinawekwa pembezoni mwake ili  kuhakikisha  ulinzi bora.

Kila sanduku la Mbao lina idadi fulani ya vigae kulingana na unene, Maelezo yote juu ya  yaliyomo ndani ya sanduku  yametajwa kwenye ukurasa  iliyobandikwa nje ya sanduku .

 Tunatumia Sanduku la  karton au povu tu kwa ajili ya Ufungushaji wa vipimo "12  "x12"  (10mm +/- 0.5 Unene)  na hivyo kabla ya kuingizwa  ndani ya  masanduku ya  mbao , vilevile , karatasi nyembamba za Plastiki kati ya  nyuso zilizosafishwa za vigae ili kutokwaruzwa  uso.

2- paliti  za mbao:

Vigae vimebebwa  baada ya kuchaguliwa kwa makini   kwenye paliti za mbao zilizifungishwa  na mikanda ya plastiki na katoni  ili kuepusha uharibifu wowote unawezekana kutukea

 Kulingana na saizi na unene wa vigae ,  kila paliti ina idadi fulani ya vigae

Maelezo yote kuhusu  yaliyomo kwenye paliti  yametajwa kwenye karatasi ya lebo iliyobandikwa kwenye upande wa paliti .

bottom of page